Thursday 3 March 2016

Bushoke ajiunga na kundi la QS




Mkongwe wa muziki wa Bongo Flava mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Q Chief, amesema mkongwe mwenzie Bushoke amejiunga na bendi yake ya QS.
kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chillah ameandika kuwa atamtambulisha Ijumaa hii kwenye onyesho lao.
“Anaitwa Rutha Bushoke napenda kumuita Luther King, best of the best ndio member mpya wa Qs” ameandika Instagram.

No comments: