Wednesday 9 March 2016

Nisha afunguka kuhusu kuwa na mahusiano na Baraka Da Prince

nisha (1)
Msanii wa bongo movie,Nisha amefunguka na kusema kuwa hajawahi kuwa kwenye mahusiano yoyote na msanii wa bongo fleva Baraka da Prince kama ambavyo imewahi kuvumishwa.
Baraka Da Prince na Nisha.
Baraka Da Prince na Nisha.
Nisha amesema hajawahi kuwa hata na urafiki na msanii huyo,huwa anamfahamu kama msanii tu.
kwanza hatuna mahusiano yoyote yawe ya kimapenzi au kirafiki,namfahamu kama msanii tu ambaye namfahamu tu” alifunguka mwigizaji huyo.