Wednesday 2 March 2016

Lema Ampongeza Ezekiel Wenje Facebook



Mbunge wa Arusha mjini Mh. (Mb) Godbless Lema na Mnadhimu mkuu wa CHADEMA Mh. (Mb) Tundu Lissu. (Picha na maktaba)
Mara tu baada ya kusambaa Taarifa kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza Ezekiel Wenje ameshinda kesi ya pingamizi lililowekwa na Mbunge Mabula la kesi ya uchaguzi. Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Facebook:

"Hongera Ezekia Wenje kwa kushinda pingamizi lilowekwa na Mabula kwenye kesi yako ya Uchaguzi ni hatua kubwa ya kurudi bungeni na kuwatumikia wana Mwanza" Godbless Lema

No comments: